UKWELI UNAOUMA KWA AMBAYE HAJAOKOKA:

https://i0.wp.com/s3.favim.com/610/140519/alone-black-body-come-back-Favim.com-1772443.jpg

1.Ni Mwenye Dhambi Na Amepungukiwa Na Utukufu Wa Mungu (Warumi 3:23)

2.Anasubiria Mauti Ya Pili “Moto Wa Jehanamu” Kama “Mshahara Wa Dhambi” (Warumi 6:23).

3.Hana Ushirika Na Mungu- Dhambi Zake Na Makosa Vimemfarakanisha Na Kumtenga Na Mungu (Isaya 59:1-2).

4.Yuko Kwenye Utumwa Wa Dhambi; Hana Nguvu Ya Kuishinda Na Kuitiisha Dhambi Na Mwili Wake (Yohana 8:34-36)

5.Yuko Chini Ya Makucha Na Utawala Kandamizi Wa Shetani Na Majeshi Yake Maovu Na Anaweza Kuhamishwa Kama Ataokolewa (Wakolosai 1:13).

6.Ni Kiumbe Kilichoumbwa Na Mungu Ila Si MTOTO WA MUNGU Mpaka Pale Anapompokea Yesu Na Kuliamini Jina Lake (Yohana 1:12)

7. Sadaka Yake Ni Chukizo Kwa BWANA (Mithali 15:8)

8.Hana Uzima Wa Milele Na Tayari Amekwisha Kuhukumiwa (Yohana 3:16-18)

9. Ni Mteja Wa Kuzimu Ikitokea Akafa Bila Kutengeneza Mambo Yake Na BWANA YESU Kama Ilivyokuwa Kwa Yule Tajiri Mwenye Dhambi Aliyemtesa Masikini Lazaro (Luka 16:19-33)

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: