FUTURE HUSBANDS

There Are “Many Women” Who Can Become Your “Companion” If You Decide To… But There Is Only One Woman Among Many Whom God Ordained For You To Be “Your Wife”… God Took Only “One Rib” From Adam To Make Him “An Helper Fit (Suitable Helper)”… Only One Rib, One Woman Is Your Wife Thou There Are Many In Your List… It Takes Wisdom To Identify Her Among “Many Woman”
“MKE MWEMA NANI AWEZAYE KUMWONA?”
It Takes “An Extra Eye, A Divine Eye” To Locate Her!
“NYUMBA NA MALI NI URITHI APEWAO MTU NA BABA YAKE;BALI MKE MWENYE BUSARA, MTU HUPEWA NA BWANA” (Mithali 19:14).
Wako Wanawake Wengi “Wanaoonekana Kwa Nje Kana Kwamba Wanaweza Kuwa Wake Zako” Lakini Yuko “Mwanamke Mmoja Tu Ambaye Ni Ubavu Wako Uliotoka Kwako Kabla Ya Misingi Ya Ulimwengu Kuwekwa… Na Huyu Anaweza Kuonekana UKITUMIA JICHO LA MUNGU KUMTAFUTA”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
2 comments on “FUTURE HUSBANDS
  1. lillian kiwelu says:

    Lakini ubavu moja tuu ulitolewa kwako…kabla ya misingi ya dunia kuwekwa,Hakika umebarikiwa mtumishi wa Mungu aliye juu zipo siri nyingi mno ambazo zinamvusha mtu hapa uzidi kubarikiwa.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: