UKUU

“Kila mmoja wetu ameumbwa kuwa mtu mkuu endapo atagundua na kukifanyia kazi kile alichonacho peke yake dunia nzima, alichoumbwa na Mungu kuja kuipa dunia yake”

 

“Ukubwa na umuhimu wa kile ambacho Mungu amekupa ufanye jumlisha uaminifu na ubora wako katika kukitenda utaamua kiwango cha ukuu wako…”

 

“Watu wote wakuu ni watu waliopata nafasi na neema ya kwenda (kutumwa) kwa niaba na kwa ajili ya Mungu mkuu. Ukuu wa Mungu wanayemuwakilisha ndio unaowakuza mbele ya watu wanaowaona…”

 

“Hakuna mtu mkuu yeyote pasipo neema kubwa ya Mungu. Na kila mtu mkuu ni kwa sababu ya kutangulia mbele ya Mungu mkuu kwa faida ya Mungu mkuu na kwa ajili ya Mungu mkuu…”
Bishop David Oyedepo

“Ukuu wa Mungu unayemtumikia na unayemuwakilisha ndio utakaoamua UKUU WAKO mbele za wanadamu unaosimama na kuishi kati yao…”

 

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: