Ni bora kuliko

https://i2.wp.com/sdvoice.info/wp-content/uploads/2015/11/African-Amerian-man-thinking.jpgMpagani Anayejutia Dhambi Yake Na Yuko Tayari Kubadili Tabia Yake, Ni Bora Mara Elfu Kuliko Anayejiita Mkristo Lakini MATENDO YAKE YANAMKANA KRISTO!

Unawakumbuka Wale Wawili Waliopanda Kwenda Hekaluni Kusali? Mmoja Mtoza Ushuru Na Mwenzake Farisayo.
Mmoja Yule Mtoza Ushuru Alijishusha Na Kujinyenyekeza Mbele Za Mungu, Akiomba Rehema Na Toba Kwa Mapungufu Yake.
Mwingine Yule Farisayo (Mshika dini) Hakusogea Mbele Za Mungu Kwa Unyenyekevu Kufanya Ibada, Badala Alianza Kujitapa Namna Anavyotoa Sadaka, Zaka, Kuwasaidia Masikini Na Mengine Mengi.

Mmoja Alikwenda KUTENGENEZA MAMBO YAKE NA MUNGU Na Mwingine Alikwenda KUJIONYESHA MBELE ZA MUNGU!

Yesu Alipogawa Maksi; Yule Mtoza Ushuru Alifaulu Na Farisayo (Mshika dini) Akapoteza tu Muda Wake Na Hakuambulia Chochote!

MUNGU NI MUNGU MTAKATIFU, HAZOELEKI, NI MPYA KILA SIKU, UTUKUFU WAKE NI MPYA KILA UCHAO; HII NDIYO SABABU WAZEE 24, WENYE UHAI WANNE, MASERAFI, MAKERUBI NA MALAIKA HAWACHOKI KUINAMA NA KUINUKA MBELE ZAKE, MAANA KILA IITWAPO SEKUNDE, MUNGU WETU ANAHAMA KUTOKA UTUKUFU KWENDA UTUKUFU!

Usisogee Mbele Za Mungu Leo Kwa Mtazamo Na Matarajio Kama Ya Jana; MUNGU WETU NI MOTO ULAO!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: