Sadaka

https://i2.wp.com/iblog.milliyet.com.tr/imgroot/blogv7/Blog333/2012/02/09/01/348030-3-4-7fc27.jpgKama Hauwezi Kumtii Mungu Kwenye SADAKA, Hasa AHADI/ NADHIRI Na Fungu La Kumi, Sioni Ni Kwa Namna Gani Utaweza Kumtii Mme Wako Kama Kumtii Kristo!

Kama Hauwezi Kumpenda Mungu Kwa Mali Yako, Muda Wako, Moyo Wako Na Nguvu Zako Zote Sioni Ni Kwa Namna Gani Utaweza Kumpenda MKEO Kama Kristo Alivyolipenda Kanisa!

Mwanamke, utii Wako Kwa Mungu, Utaamua Utiifu Wako Kwa Mmeo!
Mwanaume, Upendo Wako Kwa Mungu Utaamua Upendo Wako Kwa Mkeo!

Maana Hauwezi Kusema Unampenda Mungu Usiyemwona Wakati Kuna Wanadamu Hapo Jirani Hauongei Nao, Kisa Madhehebu Yao, Dini Zao, Makabila Yao Au Kwa Vile Hutarajii Msaada Wao!

BIBLIA NI MAISHA YA KILA SIKU KATIKA WEPESI KAMA HUU; SI MAANDIKO KWENYE KURASA ZA KITABU!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: