Ufalme wa Mungu

christ-teaching-foolish-rich-man-parable-1401835-wallpaperYesu Aliwahi Kusema, “MAKAHABA NA WATOZA USHURU WATAWATANGULIA KATIKA UFALME WA MUNGU”
Kinachowafanya Hawa Makahaba Na Watoza Ushuru Wawe Na Uwezekano Wa Kuingia Na Kuwatangulia Wale WALIOKO KANISANI, Ni Kwa Sababu HAWA DHAMBI YAO IKO WAZI, HAWANA UFICHO, NA WAKISIKIA INJILI YA KRISTO YA NEEMA NA MSAMAHA, WANASOGEA BILA MAZOEA NA KUPOKEA UZIMA WA MUNGU KWA URAHISI!
Lakini Watu Walioko Makanisani (Watu Wa Dini) Wako Humo Na WANAENDELEA KUTAFUNWA NA DHAMBI KWA SIRI, Wanaogopa Kutafuta Suluhu, Wanaogopa Macho Ya Watu Huku WAKIENDELEA KUELEKEA JEHANAMU KIMYAKIMYA, Wanaogopa Kuwa Wawazi Ili Wasaidiwe Na Kuelekezwa Namna Ya KUTOKA KWENYE UTUMWA WA DHAMBI WALIOMO; Wako Kwenye Kwaya, Lakini Ni Wazinzi, Wasengenyaji, Wenye Kiburi, Wenye Mashindano Na Manung’uniko; Wanafundisha Kilichoandikwa Kwenye Biblia Lakini Hakijaweza Kuwabadilisha Wao, Wanamtaja Roho Mtakatifu Lakini Hata Kukutana Na Walau Mguso Wake HAKUNA!

Wakati Wa Kuigiza Na Kuishi Kwenye DINI Badala Ya YESU Umepitwa Na Wakati, Heshima Yako Mbele Za Wanadamu Haitakusaidia Kama Hautakuwa UMEANDIKWA KWENYE KITABU CHA UZIMA NA MWISHO WA MAISHA YAKO KUINGIA MBINGUNI.

Umilele Wako Unasubiri Maamuzi Yako Ya Dhati Leo, Toka Kwenye Ukristo Wa Jina Umaanishe Kumjua Na Kumuishia Yesu Aliye Hai Sasa!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Ufalme wa Mungu
  1. harry says:

    watoto wa Mungu nawasalimu katika upendo wa kristo nawapenda kama mimi mlivyo nipenda mkaunda ukurasa huu ni upendo mkubwa sana maana mnatutoa katika giza na kutuweka huru na NURU, Huu ni upendo wa kristo aliwaachi wa ukweri hasanteni sana watumishi wa Mungu Hasante pia kwa ROHO MTAKATIFU nina furaha sana maahana kazi ya baba aliyewachia YESU KRISTO yatendeka kama ROHO MTAKATIFY ATAKAVYO pia ninaomba kama kuna ukurasa wa kingereza tuwasadie ndugu zetu waliopotea hasanteni MUNGU HAWAIDISHIE USHINDI NA UPENDO NA AMANI NA MAFANIKIO NA HEKIMA YA MAFUNDISHO MNAYOTUFUNDISHA

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: