​HEKIMA YA LEO [25/01/2017]

1. Mungu huwa harudishi watu nyuma kamwe. Uongozi wake na maelekezo yake ni kusonga mbele daima.
2. Tabia ya kuwa kigeugeu si ya Mungu.  Haijalishi ni vikwazo gani unakutana navyo, maadamu unakokwenda ni sahihi, songa mbele.
3. Kuna vitu vinasimama mbele yako kama kuta, lakini kiuhalisia si kuta, ni vivuli. Ukidhamiria kusonga mbele, vitakupisha tuu. Komaa.
4. Dhamiria kwamba maisha yako yatasonga mbele daima. Amri tuliyonayo ni kwamba, ‘songa mbele’ huna haja ya kutazama nyuma, usiwe kama mke wa Lutu, utaigandisha hatima yako.
5. Usisumbuliwe na mambo ya kale, yanazuia mambo mapya kuja. Kuna mengi mapya yako mbele yako, amini na uweke tayari moyo wako kuyapokea na kuyaishi.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
3 comments on “​HEKIMA YA LEO [25/01/2017]
  1. Magai Pastory says:

    Shaloom…..nina mambo nahitaji kujifunza kitoka kwako

  2. Nacky mchau says:

    wooow! AMEN! nimimefarijika sana na ujumbe huu, mungu awabariki.

  3. susan says:

    ujumbe mzuri mno .barikiwa sana

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: