​HEKIMA YA LEO [26-01-2017]


1. Kuwa mmoja. Unachokisema, unachokiwaza na unachokitenda vyote viwe kitu kimoja. Vinginevyo unakuwa unajidanganya mwenyewe.
2. Usijipinge mwenyewe. Unawezaje kufanikiwa kama upo kinyume na wewe mwenyewe. Usipofikia hatua ya kuwa na umoja kwenye roho yako, Nafsi yako na mwili wako, ni vigumu kufanikiwa.
3. Uaminifu unajengwa pale unapokuwa mmoja. Yaani kile unachosema ndicho unachomaanisha. Vinginevyo ni vigumu kuaminika.
4. Kuna mambo moyoni mwako ambayo ni wewe tu ndio unayajua na unajua kuwa si mazuri. Acha kuyalea, yashughulikie. Ile Kwamba wengine hawajui, haimaanishi kuwa upo salama.
5. Ukomavu ni pale unapoweza kujiambia ukweli na kujishughulikia bila kujionea huruma wala haya. Huhitaji mtu akushikie kiboko, jiweke kitimoto mwenyewe mpaka mambo yakae sawia.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: