HEKIMA YA LEO [27-01-2017]


1. Matatizo au changamoto ni jambo la kawaida katika maisha. Unachopaswa kufanya ni kujijengea uwezo wa kukabiliana na kutatua matatizo huku ukiwa na utulivu.
2. Katika mitihani ya shuleni, tumejifunza kujibu maswali ndani ya muda fulani kwa utulivu wa hali ya juu. Katika maisha Inapaswa kuwa hivyo pia Pindi yajapo matatizo.
3. Hatupaswi kukurupuka wala kuchanganyikiwa yajapo matatizo, tunachohitaji ni utulivu wa akili na kasi ya upambanuaji ili kuyashughulikia kwa muda unaofaa.
4. Akili ndogo hulaumu, kulalamika na kusingizia bahati mbaya au mkosi yajapo matatizo. Akili ya namna hii siku zote hukufanya uwe muhanga wa Matatizo.
5. Kwa upande mwingine, matatizo ni fursa ya wewe kuongezeka na kukua. Ukijijengea ujuzi wa kutatua matatizo, maisha yako yatakuwa yakisonga mbele na kwenda juu daima.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: