HEKIMA YA LEO [28-01-2017]

1. Mabadiliko ni kitu ambacho lazima kitatokea katika maisha. Iwe mabadiliko yanayosababishwa na watu au mabadiliko ya asili.
2. Unaweza kuyachukia mabadiliko, unaweza kutotaka mabadiliko lakini ukweli ni kwamba huwezi kuyaepuka mabadiliko.
3. Asilimia kubwa ya watu hupinga mabadiliko Pindi yanapokuja, sababu kubwa ni kwamba mabadiliko yanadai na wewe ubadilike. Mambo yakibadilika alafu wewe ukabaki bila kubadilika, lazima itakugharimu.
4. Mwitikio mzuri wa mabadiliko yoyote ni wewe kukubali kubadilika ili kukabiliana nayo kwa namna iliyo njema. Mabadiliko yako yanaanzia katika fikra zako.
5. Ukikubali kubadilika, ni vigumu kuwa mhanga wa mabadiliko. Soma mabadiliko yanayoendelea katika mazingira yako, boresha fikra zako zitumie mabadiliko kama fursa.
PENDA MABADILIKO!

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: