Pesa

Swali: Namna gani naweza kutengeneza pesa zaidi kila siku?
Jibu: Ni rahisi sana, ongeza HUDUMA UNAZOTOA au ZALISHA NA KUSAMBAZA BIDHAA ZAIDI KWA WALAJI AMBAO ULIKUWA HUJAWAFIKIA.
Sababu: Pesa si kitu cha ajabu kivile, NI MALIPO ANAYOPEWA MTU BAADA YA KUTOA HUDUMA AU KUTATUA TATIZO LILILOKUWA LINAHITAJI SULUHU KWENYE JAMII.
Zingatia: Ubora wa huduma au bidhaa unatengeneza mazingira mapana zaidi ya kutengeneza fedha zaidi. Ubora unategemea maarifa na weredi wako.


Anzia hapo,

Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: