​HEKIMA YA LEO [29-01-2017]


1. Katika maisha kuna matukio mengi huja kwa kustukiza, kwa wakati ambao hujajiandaa na wala hukuyategemea. Matukio haya huleta furaha kubwa au huzuni kubwa sana.

2. Ukweli ni kwamba, ni ya kustukiza katika ulimwengu wa mwili, lakini katika ulimwengu wa roho, hakuna linalotokea kwa ghafla au kwa kustukiza. 

3. Hii ni kwa sababu, chanzo cha matukio yote, mema au mabaya ni katika ulimwengu usioonekana. Mambo yanapikwa huko na kuachiliwa katika ulimwengu wa mwili. 

4. Ukijiunganisha na ulimwengu wa roho, mambo mengi katika maisha yako hayatakuwa ya kustukiza. Yanaweza kuwastua wengine, lakini kwako utakuwa katika utulivu Pindi yanapotokea.

5. Kuenenda katika roho kutakusaidia kujiandaa kuyapokea na kuyakabili mambo ambayo vinginevyo yangekujia kwa kustukiza na kukuduwaza.
ENENDA KATIKA ROHO!

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: