HEKIMA YA LEO [30-01-2017]

1. Binadamu wa kawaida hupenda kuweka umakini mkubwa kwa kile asichonacho badala ya kile alichonacho.  Analaumu kwa sababu ya asichonacho badala ya kushukuru kwa sababu ya alichonacho.
2. Wengi hufikiri sana kuhusu kesho na kuacha kutumia leo waliyonayo. Wanapoteza muda wa sasa wakitarajia kuwa kesho ipo.
3. Ukiona unadharau ‘kidogo’ ulichonacho kwa sababu ya kile ‘kikubwa’ unachotarajia, jua upo katika mchezo wa kufukuza upepo.
4. Leo ni mbegu ya kesho unayoitarajia. Ulichonacho ndicho kimebeba mimba ya unachokitarajia. Usipokuwa mwaminifu kwa ulichonacho, sahau kuhusu unachotarajia.
5. Hujui ya kesho, Tumia leo yako vizuri. Thamini kila ulichonacho, ndicho ulichoaminiwa kupewa kwa sasa.
MAISHA NI SASA, KWA KILE ULICHONACHO!

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: