HEKIMA YA LEO [02-02-2017]


1. Katika kila hatua ya maisha, unahitaji watu ambao watakupa changamoto ya kukufanya usonge mbele zaidi. 
2. Haijalishi umekuwa kiasi gani, bado unaweza kufikia kiwango kikubwa kuliko ulichonacho sasa, na kupata matokeo makubwa zaidi.
3. Kuna watu ukikaa nao, wanakufanya uchimbe zaidi ndani yako na kukaza mwendo kusonga mbele badala ya kuridhika na yale uliyoyatimiza.
4. Maadamu unaendelea kuishi, bado una nafasi ya kuongeza mchango wako katika kuboresha dunia yako kwa ajili ya ufalme wa Mungu.
5. Hivyo, usikae tu na watu ambao watakufanya ujione umefika. Wakati mwingine kaa karibu na watu watakaokufanya uone bado una kazi ya kufanya, na bado una mambo mengi ya kutimiza.
WAWEZA KUFANYA ZAIDI!

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: