HEKIMA YA LEO [03-02-2017]


1. Ukipenda, kuna visingizio zaidi ya 1000 vya kwa nini usifaulu, usisonge mbele, uwe na maisha magumu na mambo yako yasiende vizuri.
2. Lakini pia ukitaka, kuna sababu zaidi ya 10,000 za kwa nini unaweza kufaulu, kusonga mbele, kuwa na maisha mazuri yenye furaha na amani.
3. Uchaguzi ni wako. Visingizio vya kufeli vinakupa kichaka cha kujifichia, lakini sababu za kufaulu zinakupa wajibu wa kufanya. Ila wengi hupenda kichaka kuliko wajibu.
4. Waweza kuendelea kumlaumu unayemlaumu, kazi ni kwako. Lakini pia, waweza kukubali kuwajibika kwa ajili ya maisha unayoyatamani, bado kazi ni kwako.
5. Maisha ni vile unavyoyafanya yawe. Namna unavyokitandika kitanda, ndivyo utakavyokilalia. Ni wewe uliyeamua maisha yako yawe hivyo.
MAISHA YAKO, WAJIBU WAKO!

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “HEKIMA YA LEO [03-02-2017]
  1. Florian Kamala says:

    Thats  wisdom we need nowdays

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: