Kesho yako


​Kesho yako ni nzuri (Yeremia 29:11),

Usiwe mtumwa wa jana yako, mpe Mungu nafasi ya Kufanya JAMBO JIPYA maishani mwako (Isaya 43:18-19),

Ongeza bidii katika KUMJUA MUNGU KAMA UNATAKA MAISHA YAKO YAWE NA MAANA (Daniel 11:32b, Ayubu 22:21),

Hakikisha unatumia maisha yako KUWAONGOZA WENGI KUBADILI NJIA ZAO MBAYA NA KUTENDA MEMA (Danieli 12:3),

Usiwe sababu ya UGOMVI bali uwe MPATANISHI (Mathayo 5:9),

Uwe Mwepesi wa KUSAMEHE hata kama inauma, NI KWA FAIDA YAKO (Mathayo 6:14-15),

LINDA SANA MOYO WAKO KULIKO YOTE ULINDAYO, njia rahisi ni KULINDA MACHO NA MASIKIO/ UNACHOONA NA KUSIKIA (Mithali 4:23).

Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: