HEKIMA YA LEO [05-02-2017]


1. Chanzo chako ni Mungu, huwezi kujitambua nje ya chanzo chako, yaani nje ya Mungu. Unapojiunganisha zaidi na chanzo chako, ndipo unaishi kwa ufanisi zaidi.

2. Umeumbwa kwa mfano wa Mungu. Ili ujijue zaidi ni lazima umjue Mungu. Kadiri Unavyomjua Mungu, ndivyo unavyojijua zaidi.

3. Mungu mwenye uweza wote kaweka sehemu ya uwezo wake ndani yako alipokuumba. Kuvumbua uwezo ulionao, jua zaidi kuhusu Mungu na uweza wake.

4. Mungu alikuumba kwa kusudi na hatima, huwezi kujua kusudi lako na hatima yako nje ya Mungu wako. Unapojiunganisha zaidi na Mungu ndivyo unavyojivumbua zaidi. 

5. Suala la hatima limefungwa katika Mungu. Ushirika na umoja na Mungu ndiyo msingi wa kujigundua na kutimiza hatima yako kikamilifu. 
MUNGU NDIYO ALFA NA OMEGA WA HATIMA!

_Foe Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: