HEKIMA YA LEO [06-02-2017]


1. Dunia iko bize kweli. Tangu umeanza chekechea mpaka unamaliza chuo kikuu umekuwa katika shughuli nyingi sana, karibu zote zimeratibiwa na mfumo wa dunia.
2. Umeanza kazi, iwe kuajiriwa au hata kujiajiri, unajikuta una shughuli nyingi sana. Muda wako mwingi unachukuliwa na kazi, na majukumu mbali mbali ya kutafuta kipato.
3. Majukumu na shughuli nyingi sana zimekufanya uwe mbali na wewe. Tumetumia muda mwingi sana kujua mambo mengi isipokuwa kujijua sisi.
4. Mara kadhaa katika maisha, unahitaji muda wa kutulia, kujitafakari na kujua kama unakoelekea ni sahihi au la. Vinginevyo utajikuta tangu umezaliwa upo kwenye mbio zisizo na tuzo.
5. Tulia, ingia ndani yako, vumbua hazina yako. Pamoja na majukumu yote, hakikisha unapata muda wa kutulia na kujitafakari. Utapata majibu mengi sana.
TULIA, FIKIRI!

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: