Eneo lako lakujidai


​”Anayekuwa wa mwisho naye ana akili, ameandika majina yake kwenye karatasi za kujibia, amefanya mtihani sahihi tatizo AKILI YAKE HAINA AKILI KWENYE HICHO ALICHOFELI… Albert Einstein alisema, UKIMHUKUMU SAMAKI KWA KUSHINDWA KUPANDA MTI, ATABAKI MAISHA YAKE AKIAMINI NI MJINGA NA ASIYE NA AKILI KUMBE KUNA MAHALI AKILI YAKE INA AKILI NAKO NI MAJINI… Tafuta ENEO AMBALO AKILI YAKO INAWEZA KUONESHA AKILI ZAKO, NA DUNIA HAITAKUCHUKULIA POA KAMWE…. HUJAUMBWA KUWA KILA KITU AU KILA MTU… UNA ENEO LAKO LA KUJIDAI, UWANJA WAKO WA NYUMBANI… UTAFUTE NA UKIMBIZE….KITAELEWEKA TU…”

Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: