HEKIMA YA LEO [07-02-2017]


1. Hekima, ufahamu na maarifa huonekana katika matokeo aliyonayo mtu. Unaweza usiwe mtu wa kuongea au kujionesha, lakini hekima, ufahamu, maarifa uliyonayo yatakuonesha.
2. Kama una hivi vitu vitatu, lazima utakuwa na matokeo ya kuonesha katika maisha yako. Huweizi kuwa navyo alafu ukakosa uthibitisho.
3. Kwa sababu, “Nyumba hujengwa  kwa  hekima,  Na  kwa  ufahamu huthibitika, Na  kwa  maarifa  vyumba vyake  hujazwa  Vitu  vyote  vya  thamani  na vya  kupendeza.” (Mithali 24:3-4)
4. Hekima yako imekujengea nini? Ufahamu wako umekuimarishia nini? Maarifa yako yamekujazia nini? Je una chochote cha kuonesha?
5. Maisha yanahusu kile unachozalisha, unachoumba na unachojenga kwa kuhusisha ufahamu ulionao. Tafuta namna ya kugeuza hekima, ufahamu, maarifa uliyonayo kuwa bidhaa.
HEKIMA YENYE MATOKEO!

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: