HEKIMA YA LEO [08-02-2017]


1. Imani isiyo na msingi ni imani isiyo na matokeo mema..Wengi huamini vitu vingi, lakini hawajawahi kuuliza msingi wa wanachoamini ni nini? 
2. Kuna wanaoamini kitu kwa sababu ni maarufu au kwa sababu kila mtu anaamini hivyo, bado huo si msingi wa imani halisi. Imani halisi haitegemei wingi wa Watu. 
3. Ni hatari kujenga imani yako kwa vitu ambavyo havina msingi wowote, ni sawa na kuweka maisha yako mahali pasipo na usalama wala uhakika.
4. Kwa nini unaamini hivyo unavyoamini? Imani yako imekuzalishia nini? Je, chanzo cha imani yako ni nini?  Kweli lazima Ijulikane, vinginevyo utapeleka maisha yako pabaya.
5. Kabla hujaamini, tafuta kweli kuhusu hilo jambo. Usidhanie, imani si kitu cha kidhania vinginevyo Itakupa mayokeo ya kufikirika tu. Weka imani yako juu ya msingi imara.
IMANI YENYE UHAKIKA!

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: