HEKIMA YA LEO [09-02-2017]


1. Kuna wakati wa kuongea na wakati wa kukaa kimya. Hekima hukusaidia kujua wakati gani ufanye lipi.
2. Tunapaswa kutambua kwamba, kwa maneno yetu tunahesabiwa haki na kwa maneno yetu tunahukumiwa. Kwa maneno yetu tunaleta uzima na kwa maneno yetu tunaleta mauti.
3. Ulimi ni kiungo kidogo sana, lakini kinaweza kufanya mambo makubwa, iwe ni mema au mabaya. Inahitajika sana hekima ili uweze kuutumia ulimi wako vema.
4. Maneno yakitoka huwa hayarudi. Na tunapaswa kukubali kuwajibika juu ya yale tunayoyaongea, kwa sababu lazima tutavuna matunda yake.
5. Onja maneno yako kabla hayajakutoka, usipoipenda ladha yake, usithubutu kuyatoa. Ni hekima kukaa kimya kuliko kuongea porojo.
CHUNGA MANENO YAKO!

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: