MFUNGO WA SIKU 40 (Masaa 12), (Day 2)

ROHO MTAKATIFU NA WEWE,
Tunaomba kuishi katika uhalisia wa Tunda la Roho mbali na MATENDO YA MWILI kwa NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU (Wagalatia 5:16-23).
1. Omba uwezesho wa Kiungu wa kuishi nje na mbali ya matendo yote ya mwili maishani mwako (Matendo ya mwili yako Wagalatia 5:17-21).
2. Muombe Roho wa Mungu akusaidie KUENENDA KATIKA ROHO na kamwe usizitimize tamaa za Mwili (Wagalatia 5:16).
3. Omba tunda moja moja la Roho Mtakatifu liwe DHAHIRI NA TABIA YAKO YA KILA SIKU (Wagalatia 5:22-23).
4. Muombe ROHO MTAKATIFU akufanye MTU MWINGINE kitabia na mwenendo (1Samweli 10:6).
Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila

Na ABC KAHAMA & DETRIM.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “MFUNGO WA SIKU 40 (Masaa 12), (Day 2)
  1. Jackson Simon Mulinde says:

    Bwana Yesu apewe sifa.Samahani.Wewe ni Mtoto wa Kabugumira,wa Karagwe,Kibondo ya Milanda?

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: