HEKIMA YA LEO [11-02-2017]


1. Kuna maneno mawili yanayoshindana sana nafsini mwa wengi, nayo ni ‘mimi’ na ‘wengine’. Ubora wa maisha unategemea unayachukuliaje hayo maneno mawili.
2. Kwa watu wengi,  tunafanya kila kitu kwa ajili ya ‘mimi’. Tumeifanya ‘mimi’ kuwa ya muhimu zaidi na nguvu kuliko ‘wengine’.  Kwaetu ni heri ‘wengine’ wakose lakini ‘mimi’ nipate.
3. Thamani ya maisha haipo katika wingi wa vitu ulivyojikusanyia bali ulivyokirimu kwa wengine. Imetupasa kuwekeza maisha yetu kwa ajili ya kuleta faida kwa wengine.
4. Ni lazima tuwaweke wengine katika mipango na maono yetu. Utajiri wako uguse masikini, hekima yako iguse wajinga, shibe yako iguse wenye njaa na utoshelevu wako uguse wenye uhitaji.
5. Jijenge ili uwe wa faida kwa wengine. Keti na fikiri ni kwa namna gani unaweza kuwa wa kufaa kwa wanaokuzunguka. Dhamiria kutumia hazina zako kuhudumia wengine.
MIMI vs WENGINE!

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: