HEKIMA YA LEO [12-02-2017]


1. Kuna mambo ambayo ni wajibu wako, hata ukiyakwepa yatabaki kuwa ni wajibu wako, na Usipoyafanya, Tarajia matokeo ya kutokuwajibika kwako.
2. Kuna mambo ambayo huwezi kuyafanya sasa kwa sababu tu hujakubali kujifunza. Ukijifunza, utajiongezea uwezo wa kufanya yale usiyoyaweza.
3. Kuna mambo unayaogopa sasa kwa sababu tu hujathubutu kuyakabili. Ukipata ujasiri wa kuthubutu, hutaiona hiyo hofu tena.
4. Kuna mambo unayalalamikia leo kana kwamba ndio sababu ya matatizo yako. Lakini siku macho yako yakifumbuka na ukakubali kuwajibika, utaacha mchezo wa kulalamika.
5. Kuna mambo umekuwa ukiyapa umakini mkubwa sana na yamekuchukulia muda mwingi sana bila kuleta faida yoyote kwako. Siku ukiketi na kutafakari utayaacha ghafla.
FIKIRI NA UBADILIKE!

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: