HEKIMA YA LEO [13-02-2017]


1. Maisha yanaendeshwa kwa kanuni, na kwa sababu hiyo maisha yako yanaweza kutabirika. Waweza jua kwa hakika ni wapi utakuwa kesho.
2. Unapaswa kufahamu kuwa aliyekuumba hakukuumba ili kujifurahisha tu. Nyuma ya kila uumbaji kuna kusudi maalumu. Kuzaliwa kwako kuliratibiwa kwa makusudi kabisa na Mungu.
3. Tumia muda mwingi kujiongezea thamani. Wekeza sana ndani yako kwa kujifunza na kujinoa uwe hodari katika eneo lako la wito. Hutahitaji kujitangaza.
4. Tumia akili yako vizuri, ifunze kufikiri, kupambanua na kuhusiana vizuri na mazingira. Usiwe mvivu wa kutafakari. Chunga sana mawazo yako.
5. Dhamiria kuwa mzalishaji. Kuwa baraka kwa wengine kwa kile unachozalisha, iwe ni huduma au bidhaa. Weka bidii katika yote uyafanyayo.
ISHI KIKAMILIFU!

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: