HEKIMA YA LEO [14-02-2017]


1. Kila kilichomo duniani, ikiwemo na dunia yenyewe,  kina mwanzo na mwisho. Maisha yetu yana mpaka, kuna wakati yatakoma.
2. Haijalishi utaishi miaka mingi kiasi gani, bado utafikia mwisho tu, na utahitaji kutoa hesabu ya namna ulivyotumia muda na nafasi yako hapa duniani.
3. Hivi ni vitu viwili ambavyo tumewekewa mipaka, muda na nafasi. Hatupaswi kuchezea vitu hivi hata kidogo kwani vina ukomo wake, na ndivyo vinavyoamua ufanisi wetu hapa duniani.
4. Ni muhimu tutambue kwamba mamlaka pekee iliyo kuu ni ya Mungu, tulizonazo sisi zinafanya kazi chini ya Mungu na tutawajibishwa kwa namna tulivyotumia mamlaka tulizoaminiwa kupewa. 
5. Imetupasa kufanya kazi yake yeye aliyetuumba maadam ni mchana, usiku ukifika, hatutaweza kufanya kitu. Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, kabla hazijaja siku ambazo hutaweza kufanya kitu. 
TUMIA VEMA MUDA & NAFASI

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: