Mnachanganya mambo

https://i2.wp.com/techcabal.com/wp-content/uploads/2015/03/naira1000.jpg

Hakuna pesa chafu wala pesa safi, Pesa huchukua usafi au uchafu uliojaa ndani ya aliye nazo. Tusichanganye mambo.

Swali

Carlos Ricky Wilson Kirimbai Sasa mjomba mimi niulize kaswali ka kichokozi ili wasomaji tujiongeze kiufahamu!

Kama hamna pesa chafu mbona andiko lifuatalo kama lanichanganya:

“Usilete ujira wa kahaba, wala mshahara wa mbwa, katika nyumba ya BWANA, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yo yote; kwani haya ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako, yote mawili.”

(KUM.‬ ‭23:18‬ ‭SUV‬‬).

Hapo vepee mjombaangu?

 

Jibu

Swali zuri pastor,
Mantiki yangu ni hii… “Money is not good or evil, but it takes what fills the heart of the owner”
Hata hiyo pesa mikononi mwa kahaba, uchafu wake umetokana na nani aliye nayo na kaipata kwa njia gani.

Ndiyo maana pesa iliyoletwa dukani kwa Mangi na pusher wa dawa za kulevya, inaweza kurudishwa kwako kama chenji, na ukatoka pale na kuitoa sadaka kanisani na ikawa pesa safi, kwa sababu aliyekuwa na hiyo pesa ni msafi na moyo na nia yake ni safi.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: