HEKIMA YA LEO [16-02-2017]


1. Kwa nini tunakuwa na mwitikio tofauti na matokeo tofauti katika hali mbalimbali tunazopitia katika maisha? 
2. Kwa nini darasa moja, linalofundishwa na mwalimu mmoja na kufanya mtihani mmoja litoe watu wenye matokeo tofauti?
3. Mambo mbalimbali tunayopitia katika maisha ni mbegu. Mwitikio wetu ndio unaoamua tutapata nini au tutapoteza nini katika yote tunayopitia.
4. Hali ya mioyo na akili zetu ndiyo huamua namna tutakavyoitikia katika yale yanayotukabili.
5. Moyo na akili hujengewa uwezo wa kujua nini cha kufanya ili kupata matokeo chanya katika kila hali, na hii ndiyo hekima. Umewekeza kiasi gani katika kujijengea uwezo?
JITOFAUTISHE!

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: