HEKIMA YA LEO [20-02-2017]

1. Kuna vitu vinaweza kusimama, lakini si muda. Kuna vitu vinaweza kukusubiri, ila si muda. Kuna vitu vinaweza kuhifadhiwa ila siyo muda.
2. Kila kitu unachofanya kinahitaji muda wako. Hakuna kinachofanyika nje ya muda.
3. Kama kuna ujuzi wa muhimu sana, basi ni ujuzi wa kutumia muda kwa manufaa. Vitu vingi vinataka muda wako, unahitaji kuamua wapi pa kuwekeza muda wako na kuvikataa vingine. 
4. Matumizi ya muda wako yanaweza kupimika, hasa katika vitu ulivyozalisha, namna ulivyojijenga, maisha ya watu uliyoyagusa na hazina ulizoziacha kwa kizazi chako na vizazi vijavyo.
5. Amua unataka muda wako utumike wapi, Usiruhusu watu na mfumo wa kimaisha ukuamulie matumizi ya muda wako.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: