HEKIMA YA LEO [22-02-2017]

1. Kuna vitu ukiviamini katika maisha vitabadilisha kabisa mtazamo wako kuhusu maisha na kukufikisha mahali pazuri. Imani yako ndiyo inaamua maisha yako.

2. Maisha yanatabirika. Waweza kujua utakuwa mtu gani miaka 10 ijayo, kwa sababu maisha yamefungwa katika kanuni na njia.

3. Kuna njia ukiifuata utaishia kwenye laana na mauti na kuna njia ukiifuata itakufikisha kwenye baraka na uzima. Muhimu ni kujua njia sahihi ya kuifuata.

4. Kwa bidii na kujituma unaweza kufika popote unapotaka kufika. Uwepo wa kibali na neema hauondoi nafasi ya bidii. Yusufu na Paulo  walikuwa na kibali, lakini pia walikuwa wachapakazi.

5. Heshima huvuta mafanikio na kukosa heshima huvuta kufeli. Ukiheshimu kanuni utafanikiwa, ukipuuzia kanuni, unakaribisha aibu.

ISHI KWA KANUNI!
_For Me, My Future & My World!_
Bro. Emmanuel Mahenge
0714 530 295

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: