HEKIMA YA LEO[23-02-2017]

1. Kuna uhusiano wa karibu sana kati ya hasira na utendaji mbovu. Mwenye hasira mara nyingi hufanya maamuzi ya kijinga, ambayo baadaye hugharimu maisha ya wengi. (Mithali 14:7)2. Mtu mwenye hasira huumiza wengi. Inahitajika mtu mwenye hekima kuituliza hasira yake. Shida ni pale wanaomzunguka wasipokuwa na hekima, nao wataumia. (Mithali 16:14)3. Hasira na upumbavu ni marafiki wa karibu sana. Hekima na Upole ni ndugu wanaotembea pamoja. Hekima na hasira havichangamani. Hekima ni tiba ya hasira. (Mithali 29:11)
4. Jawabu la Upole hugeuza hasira, bali neno liumizalo huchochea ghadhabu. Wenye hekima hutoa Jawabu la Upole. (Mithali 15:1)5. Ongeza kiwango chako cha ufahamu na hekima kuweza kudhibiti hasira yako, na kuweza kuwaweza wenye hasira. (Mithali 14:29)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: