HEKIMA YA LEO [24-02-2017]


1. Kuna nafasi kubwa sana ya kujiboresha na kuboresha kila kinachohusu maisha yako. Haijalishi upo kiwango gani sasa, bado unaweza kukua.
2. Kila siku inakupa nafasi ya kujifunza mambo mapya. Hivyo kiwango chako cha maarifa kitaongezeka kadiri siku zinavyoenda, kama tu utakuwa makini kujifunza.
3. Kila siku unapitia mambo na hali tofauti tofauti. Hii inakupa uzoefu mpya wa kukabiliana na changamoto na hali za kimaisha, kama tu utakuwa mwepesi wa kujifunza.
4. Pamoja na hayo, ni lazima wewe binafsi ujiwekee nidhamu ya kujifunza na kujiendeleza. Iwe ni kwa kusoma vitabu, kusikiliza mafundisho, kuhudhuria semina n.k.
5. Hakuna mwisho wa kujifunza, waweza kujifunza mambo mengi kadiri uwezavyo kulingana na kasi yako inavyokuruhusu. Usipojifunza, unazeeka mapema.
JIFUNZE DAIMA!

_For Me, My Future & My World!_

Bro. Emmanuel Mahenge 

0714 530 295 

emmastiv@yahoo.co.uk

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: