Nilishasema

https://z-m-scontent.fjnb2-1.fna.fbcdn.net/v/t1.0-9/16729385_1231803183522514_6493431922539055667_n.jpg?_nc_eui2=v1%3AAeFs7aiUFgb-XopjyJ5o2yhncW0uliYkA3beFcQRluFRMYNFvBnovjt4xijszab56Jn8I78j59jn2A3QezHSmsIvw0_SW-WNUa_UGK5UwZPZstyoFDlDR8LPsa4G9FCmetM&_nc_ad=z-m&oh=a7c6e4afb1979559c37887941620e602&oe=5941AF62

“Nilishasema nitakuwa tajiri wa mali (material things) kiasi cha kila mtu kuona wazi wazi hadi Mataifa waanze kumcha Mungu kwa sababu ya hilo (Zaburi 67:7). Mimi si mmoja kati ya Walokole wanaoamini kuna Mungu mwenye mbingu, lakini hawaamini baraka yake inapaswa kumtajirisha mtu wake, na utajiri huo unapaswa usiwe mzigo wala pasua kichwa (Mithali 10:22). Naamini kama BARAKA ZILIMTAJIRISHA IBRAHIMU, ISAKA, YAKOBO, baraka hiyo hiyo inapaswa kunitajirisha kwa mali na vitu maana MUNGU WETU HANA KIVULI CHA KUGEUKA GEUKA NA HANA KIGEUGEU (Yakobo 1:17, Malaki 3:6)…NAAMINI KATIKA UTAJIRI WA MALI KWA KIWANGO KILE KILE NINACHOAMINI KATIKA KUTOUGUA NA UTAKATIFU… MUNGU ANAYENISAIDIA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, NDIYE ANAYENIPA NGUVU ZA KUPATA UTAJIRI, NA NDIYE ALIYE NA MALI NA HESHIMA KWA AJILI YA WATOTO WAKE WALIOLIPA GHARAMA (Mithali 8:17-21)…”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Nilishasema
  1. Asant says:

    Wow…!well said tcha

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: