HEKIMA YA LEO [26-02-2017]


1. Wapuuziaji – huacha mambo yatokee yenyewe. Ni wavivu, walalamikaji na wasiopenda kuwajibika. Watu hawa huwa wahanga wa matukio.
2. Wakawaida – hujitahidi kutumia jitihada zao, ujanja wao na akili zao kifanikiwa au kufanikisha mambo. Wanaweza kufanikiwa, ila huwekewa mipaka na mifumo ya kidunia na ya kipepo. Huchanganyikiwa jitihada zao zisipozaa matunda.
3. Wa kipepo – Pamoja na jitihada zao, huhusisha nguvu za kishirikina na kipepo. Hupata ‘mafanikio’ ya haraka haraka, na hupotea haraka haraka hivyo hivyo. Hawa watu ni chakula ya shetani.
4. Wa kiMungu – hawa ni wale ambao pamoja na kutumia akili zao, humtumaini Mungu katika njia zao zote. Wana uhakika wa kufanikiwa, hata katikati ya ukame. Ni kama mti uliopandwa kando ya vijito vya maji.
5. Uchaguzi ni wako. Lilipo tumaini lako, ndipo yalipo maisha yako. Kuwa mjanja, Chagua lililo jema.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: