KUNA KUINUKA TENA

 

https://scontent.xx.fbcdn.net/v/t31.0-0/p526x296/16836449_1238670852835747_895889913215948501_o.jpg?_nc_eui2=v1%3AAeGSC8FigZOmjmkFXBRhUKJ5Qo16pwvBipJFo8AzVFRzkL1Q149yh-PGG1WY_X0kyRLUhjeZccHKiapDbZ3jsBjKsOt7zWDaXHNT1Y0JKNi--Q&oh=ec7a1ee4bb51dfac3c4d6c8186b42184&oe=593F1634Kitabu cha Ayubu 22:29 kinasema, “NAO WATAKAPOKUANGUSHA, UTASEMA KUNA KUINUKA TENA”

MAMBO YA KUJIFUNZA;

1. Si kila kuanguka kwako kunatokana na watu wengine, wakati mwingine ni wewe mwenyewe kwa sababu ya;

i) Kwenda peke yako bila Mungu
ii) Kutoijua njia ikupasayo (uelekeo upi wa maisha uuchukue),
iii) Kutokuwa na nuru (maarifa) ya kutosha katika njia yako
iv) Kutoamini katika unachokifanya
v) Safari yako kuwa ndefu na kukukatisha tamaa
vi) Changamoto zilizomo kwenye njia ya mafanikio

2. Wakati mwingine kuanguka kwako kunasababisha na watu au vitu vingine mfano;

i) Marafiki wabaya
ii) Usaliti wa uliowaamini
iii) Watu wanaoelekea njia moja nawe kutaka kukuzuia, kuua ulichobeba, au kukupunguzia mwendo
iv) Waliokutangulia kwenye kufanya hilo jambo wenye wivu au husuda
v) Shetani na majeshi yake

3. Kuna uhakika wa kuinuka tena ukiamua (kubaki chini ulipoanguka au kuinuka viko ndani yako, Mungu amekuumba na uwezo wa kuinuka tena ndani yako), ukiamua kubaki chini si kosa la Mungu (kutokupa msaada) wala walio kuangusha maana tayari wameshafanya yao.

4. Kuinuka kwako KUMEFUNGWA KWENYE MANENO YAKO… Maandiko yanasema, utakapoangushwa chini, UTASEMA kuna kuinuka tena!
Mwenye wajibu wa kusema ni wewe, tangaza kuinuka, tangaza kusimama tena, tangaza kuendelea na safari, tangaza kumaliza kileleni ukiwa Mshindi!

KAZI NI KWAKO KAMA VODACOM,

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: