HEKIMA YA LEO [27-02-2017]


1. Unapojenga chochote cha maana katika maisha, usijenge kwa mtazamo wa amani bali vita, usijenge kwa mtazamo wa utulivu bali ghasia.
2. Unapojenga, kumbuka kwamba kuna wakati mvua itakuja, mafuriko yatakuja, tetemeko litapita, ghasia zitazuka na fujo zitatokea.
3. Kwa mfano, unaposoma shule, usijiandae  kwa mtazamo kwamba dunia itakupokea kirahisi na hicho cheti chako au elimu yako. Jiandae kwa mtazamo wa kukabiliana na changamoto na ugumu Wa mambo mtaani, ili ukikutana nayo yasikumalize.
4. Ndio maana, msingi ni kitu cha muhimu katika lolote unalolifanya. Ukijenga hatima yako katika msingi mbovu, aisee kimbunga kidogo tuu kinakumaliza kabisa.
5. Hekima inadai kwamba Unapojenga ujue dhoruba gani za kuzitarajia katika hicho unachokijenga, na uandae msingi wenye nguvu ya kuhimili dhoruba hizo.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: