HEKIMA YA LEO [28-02-2017]


1. Hekima ya kweli hudhihirika katika kazi na matokeo yanayoonekana maishani mwa mtu. Hekima si ujuaji tu bali utendaji pia.
2. Hekima huambatana na kufikiri namna ya kubadilisha maarifa unayoyapata kuwa bidhaa inayoonekana. Kila maarifa sahihi yana uwezo wa kufanyika kitu halisi.
3. Siku zote Jiulize, nimezalisha nini? Kiwango chako cha hekima katika eneo lolote kinapimwa kwa kiwango cha matunda unayoyazaa.
4. Ni heri usiwe muongeaji lakini kazi zako zikaongea sana, kuliko kuwa muongeaji sana usiye na uthibitisho wowote. Swala sio ujuzi wako bali mchango wako kwa dunia yako.
5. Wacha maneno, Ingia kazini! Ni wakati wa kazi. Ni wakati wa kuzalisha. Ni wakati wa neno kufanyika mwili. Ni wakati wa hekima kuonesha matunda yake.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: