HEKIMA YA LEO [04/04/2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (2)
2. Thamini Maisha

  • Ili uwekeze vizuri maisha yako,  ni lazima uyathamini. Hazina yoyote inapaswa kuthaminiwa na kuheshimiwa.
  • Uhai wako ni wa thamani sana, ni wewe tu uliyenao. Hakuna mtu mwingine anayeweza kuwa wewe isipokuwa wewe.
  • Mungu amejiwekeza ndani yako, kaweka sehemu yake, sura yake na mfano wake ndani yako ili uishi kwa niaba yake hapa duniani.
  • Kutoyathamini maisha yako ni kutothamini kile Mungu ameweka ndani yako na kutomthamini Mungu mwenyewe.
  • Huwezi kutumia vizuri maisha yako kama bado huyathamini. Ukiyathamini utayaendesha kwa uangalifu na wivu mkubwa.
  • Jua kwamba uhai ndio kitu pekee kinachokupa nafasi ya kuwa duniani, thamini maisha yako.
Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: