Anza na Ulicho Nacho

“Kijana mmoja aliniambia, MTUMISHI NINA VITU VINGI VYA KUGEUZA MAISHA YA MAELFU, LAKINI SINA JINA KUBWA KAMA LAKO, NIFANYEJE NIELEWEKE NA NIKUBALIKE? Nikamjibu, MIMI NILIANZA MWAKA 2009 NA FACEBOOK, BILA KUJALI KUNA LIKE HATA MOJA AU LA, MWAKA 2012 (MIAKA MITATU BAADAE) AKAJITOKEZA Newton Deus AKANIOMBA ANITENGENEZEE http://www.yesunibwana.org MAANA NINACHOFUNDISHA KITAHITAJIWA MNO NA VIZAZI VINGI, NA AKAFANYA BURE BILA MALIPO (KAMA SADAKA YAKE KWA MUNGU) NA HIVI SASA WEBSITE HII INATEMBELEWA NA WASTANI WA WATU 75,000 KWA MWAKA, NA MUNGU AMELIKUZA JINA LANGU HATA MAHALI AMBAPO SIKUWAHI JUA NINGEFIKA, USIACHE KUANZIA UNAPOWEZA KUANZIA HUKU UKIJUA UNAKOTAKA KWENDA, USIYUMBISHWE NA KELELE ZA WASAFIRI WENGINE MAANA SAFARI NI YAKO BINAFSI…”

Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Anza na Ulicho Nacho
  1. antary muddy says:

    Amen

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: