HEKIMA YA LEO [05-04-2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (3)
3. Mtangulize Mungu

Mungu ndiye chanzo cha uhai wako na sababu ya kuishi kwako. Bila Mungu usingekuwa hai leo.

•   Ile kwamba upo hai ni kielelezo kwamba Mungu ametaka uwe hai katika dunia hii. Yeye ndiye aliyekupa nafsi ya kuishi, mpe nafasi yake ndani yako.

Nafsi unayompa Mungu moyoni mwako, inaamua kwa sehemu kubwa aina ya maisha utakayoishi na matokeo utakayoyapata.

Mjue sana Mungu wako, Jifunze neno lake. Kiwango cha mambo utakayotimiza katika maisha kinategemea sana namna unavyomjua Mungu wako.

Wekeza muda wako kumtumikia Mungu, kumpendeza Mungu na kumuwakilisha Mungu mahali popote ulipo.

Mungu ndiye mwanzo wa kila kitu, mpe nafasi ya kwanza.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
2 comments on “HEKIMA YA LEO [05-04-2017]
  1. Paulo mollel says:

    Amina.niukweli usiyo pingika kuwa yeye alitaka niwepo mbele ya uso wa denial

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: