HEKIMA YA LEO [06-04-2017]


ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (4)
4. Jua kwa nini unaishi

Kuwa hai ni uthibitisho tosha kwamba kuna sababu na kusudi la wewe kuwepo. Kusingekuwa na sababu ya wewe kuwepo, basi usingekuwa hai leo.

Umeumbwa kwa kazi maalumu, umeletwa kwa kusudi maalumu. Utoshelevu katika maisha huja kwa kutimiza kazi uliyoletwa kuifanya.

Una shauku ya kufanya nini? Unaumizwa na tatizo gani katika jamii inayokuzunguka? Macho yako ya ndani yanaona nini kuhusu maisha yako?

Kusudi la kuishi kwako limezikwa ndani yako. Unavyojitafakari na kujiuliza Zaidi ndivyo unavyojitambua Zaidi.

Maisha halisi huanza pale unapojua nini cha kufanya katika maisha yako, wapi pa kuwekeza muda, rasilimali na uwezo wako.

Kuwa mtu mwenye manufaa kwa Mungu na kwa watu.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “HEKIMA YA LEO [06-04-2017]
  1. Noah Kiiza says:

    AMEN JAMAN NAZID KUBARIKIWA MBARIKIWE

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: