HEKIMA YA LEO [23-04-2017]

MAISHA NI SHULE
Kujifunza ni wajibu Binafsi
– Hata shule iwe nzuri vipi, au mwalimu awe mtaalamu kivipi, mwanafunze asiyeweka bidii kujifunza atakuwa kilaza tu. 

– Kujifunza ni kazi inayoiumiza akili, inahitaji mtu mwenye bidii na uwajibikaji binafsi kujifunza bila kuchoka.

– Usipokubali kiwajibika utaendelea kuwa mjinga wa kisasa.

– Maarifa yapo kila kona, ila huwa hayamdondokei mtu, ni lazima mtu mwenyewe achukue hatua ya kuyatafuta.

– Kama ambavyo huwezi kuishi bila kula, vivyo hivyo jione kwamba huwezi kuendelea bila maarifa sahihi.

– Ukitaka kujifunza, lipa gharama ya kujifunza.
KUWA NA KIU YA KUJIFUNZA! 

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “HEKIMA YA LEO [23-04-2017]
  1. antary muddy says:

    Amen

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: