Blog Archives

Mwaliko huu unaweza kuwa wa Mwisho

​Kwa Mfuatiliaji wa mafundisho ya YesuniBwana, jiunge na timu yetu WhatsApp kwa Mafundisho, msaada, maombi, ushauri, Ushuhuda n.k tuko WhatsApp join kwa hii invite link https://chat.whatsapp.com/FpB3NVILgZ9F9lZCm5sP5n Advertisements

Posted in Mafunzo

USOMAJI WA BIBLIA, January 5

MWANZO 3-5, ABC KAHAMA.

Posted in Mafunzo

LUGHA YA MUNGU

Lugha Ya Mungu Ni “YAACHE MAGUGU YAKUE PAMOJA NA NGANO, HALAFU WAKATI WA KUVUNA YATAJULIKANA WAZIWAZI; BADALA YA KUKUSANYWA GHALANI YATATUPWA KWENYE TANURU YA MOTO” Mara Nyingi Inashangaza “WASIO HAKI WANASTAWI NA KUWA NA MAISHA MAZURI KULIKO WENYE HAKI” Kana

Posted in Mafunzo

FAHAMU UWEZA NA NGUVU YA KUSHUKURU

Je Ulikuwa Unajua Kuwa Kushukuru Ni Hatua Ya Kwanza Na Ya Muhimu Kuelekea Kupokea Muujiza Wako Na Majibu Yako Toka Kwa Mungu? Huu Ndo Ukweli Tunaoupata Kwenye Neno La Mungu; Kushukuru Kabla Ya Kukiona Kile Ukitarajiacho Kwa Mungu Ni Ishara

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Endelea

Endelea Kuomba, Hata Kama Inaonekana Kama Mungu Amekwenda Likizo. Hatupimi Uaminifu Wa Mungu Kwetu Kwa Kiwango Au Kiasi Cha Maombi Yetu Aliyojibu. Imetupasa Kuomba Siku Zote Wala Tusikate Tamaa ( Luka 18:1) Endelea Kumwamini Mungu Hata Kama Huoni Matokeo Yake

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Hapana awezaye Kuufunga

Katika Ufunuo wa Yohana 3:8, Yesu anasema, “Nimeweka mlango uliofunguliwa mbele yako, wala hapana awezaye kuufunga…” Huu ndio ufunguo wa maisha ya ushindi kwa Mkristo, Bwana Yesu ameshatupa breakthrough, kila nguvu inayojaribu kukuwekea kauzibe, haikupingi wewe, inakiuka kauli ya Boss

Posted in Mafunzo

​RAFIKI NATAKA UFANIKIWE, TENDEA KAZI HIZI SIRI:

Kwenye Maisha Ili Ufanikiwe Katika Jambo Lolote Lazima; 1.ULIJUE JAMBO HUSIKA KWA UNDANI (TAFUTA KUJUA KUHUSU HILO/ KUWA NA MAARIFA YA KUTOSHA KUHUSU HILO). Yaani, “TAFUTA NAWE UTAONA” (Mathayo 7:7). Zingatia Hili; “WASIO NA MAARIFA [WASIO NA TAARIFA SAHIHI] WANAANGAMIZWA”

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Uvivuni Kipaji

HII ITAKUSAIDIA SANA; Ukitaka kujua sifa ya mvivu, UKAMWONE anavyoamka kitandani, Atakwambia uuuh, mgongo unauma, kiuno kinauma, mikono haina nguvu, halafu anahisi njaa saa 12:00 asbh, Mithali 19 :15 Uvivu humtia mtu katika usingizi mzito; Na nafsi yake mvivu itaona

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

UNAPOANZA MWEZI WA SITA WA 2017.

  MAMBO YA KUFANYA; 1. Kaa chini andika malengo yako ya mwezi mzima. i)Malengo ya kiroho *Utaomba mara ngapi kwa siku? Na kila round ya maombi, utaomba dakika ngapi au masaa mangapi? Utaombea nini kwa kila round ya maombi kwa

Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [23-04-2017]

MAISHA NI SHULE Kujifunza ni wajibu Binafsi – Hata shule iwe nzuri vipi, au mwalimu awe mtaalamu kivipi, mwanafunze asiyeweka bidii kujifunza atakuwa kilaza tu.  – Kujifunza ni kazi inayoiumiza akili, inahitaji mtu mwenye bidii na uwajibikaji binafsi kujifunza bila

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events