Blog Archives

HII NI TAMU SANA

Kuna wakati ULIKUWA KWENYE KIFUNGO CHA DHAMBI, Ukiwa kwenye MINYORORO YA UTUMWA WA SHETANI Kwa sababu ya ASILI NA MWILI WA DHAMBI… SHETANI Alikuwa AKICHEKELEA NA KUSHANGILIA Akisema, “MUNGU AMEPOTEZA MAANA KILA MTU NILIYEMUUMBA NIMEMCHUKUA NAKWENDA NAYE JEHANAMU MILELE” Ulikuwa

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, sala

MAOMBI NA USHAURI KWA WENYE “MAWAZO, MIPANGO, NDOTO NA MAONO

Nitakuwa Na Maombi Maalumu Kwa Ajili Ya Wale Wenye Mawazo, Mipango, Ndoto Na Maono Ya Kutimiza Mambo Fulani Ndani Ya Mwaka Huu 2014. Ni Maombi Kwa Ajili Ya Wale Wenye WAZO LOLOTE AU MPANGO WOWOTE WA KIMAENDELEO Na Kwa Wale

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, sala

MAOMBI KWA AJILI YA KILA TATIZO LA KIAFYA!

Kama Una Tatizo Lolote La Kiafya, Linalotibika AU Lisilotibika Na Ungependa BWANA YESU Akuponye, Huu Ni Muda Wako… Lazima UWE MZIMA TENA! UKIMWI, KANSA, KISUKARI, SHINIKIZO LA DAMU, ASTHMA, KIHARUSI, UTI WA MGONGO, KIFUA KIKUU, MATATIZO YA MIGUU, MGONGO, KUTOSIKIA

Tagged with: , ,
Posted in sala

Kufanya Chema kinachompendeza Mungu

Kama Una Tatizo Lolote La Kiafya, Au Ndugu Yako Ana Tatizo La Kiafya; Ama Umejaribu Kuacha Dhambi Fulani Bila Mafanikio Na Unataka Mungu Akusaidie, Ama Unafanya Kazi Au Shughuli Isiyo Halali Na Unatamani Kuacha Na Kufanya Kitu Chema Cha Kumpendeza

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, sala

Msaada wa kiroho kwa Wagonjwa

Narudia tena; nataka kuja hapo ulipo mimi na bwana Yesu kupitia roho wake mtakatifu tukusaidie! Nimetoa tangazo jana kuhusu utayari wangu kuja kufanya huduma kokote ambako wanahitaji msaada wa kiroho. Watu wenye wagonjwa wa aina zote, wanaotibika hospitali na wale

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo, sala

Je unasumbuliwa na ugonjwa/maradhi yoyote ?

Kama Unasumbuliwa Na Ugonjwa, Maradhi Au Udhaifu Wowote Wa Mwili Ambao HAUWEZEKANI HOSPITALI, Yaani Utaalamu Wa Kitabibu Umeshindwa Kukusaidia Kumaliza Hilo; Mfano UKIMWI Na VVU, KANSA, PRESSURE, KISUKARI, MATATIZO YA MOYO, Au Kiungo Chochote Cha Mwili Kimeharibika Au Kina Tatizo

Posted in sala

Je Unaumwa?

JE UNAUMWA AU KUNA NDUGU YAKO ANAUMWA NA YUKO KARIBU NAWE? NENDA PALE ALIPO NA USOME UJUMBE HUU PAMOJA NAYE, NA YESU ATAMPONYA HAPO HAPO! Umeokolewa Kwa Imani, Kwa Kumwamini Yesu Na Kazi Yake Njema Msalabani, Si Kwa Juhudi Yako

Posted in sala

Haja ya mahitaji yako

Nataka Kuombea Haja Na Mahitaji Yako, Mtaji Wako Uwe Imani Yako Kwa Damu Ya Yesu Na Kazi Aliyofanya Yesu Msalabani… Kuanzia Leo Ijumaa, Kesho Jumamosi Na Kesho Kutwa Jumapili, Nataka Tumwamini Mungu Pamoja Na Tupeleke Hilo Hitaji Au Ombi Lako

Tagged with: ,
Posted in sala

Eee Bwana Usitete Nao Wanaoteta Nami, Wala Usipigane Nao Wanaopigana Nami… Maana Inatisha Sana Kwa Mwanadamu Kuangukia Katika Mikono Yako… Wote Wanaoshindana Nawe Huwa Hawachomoki; Hupondwa pondwa Kabisa… Pumzi Zako Zasukuma Na Kutawanya Bahari… Mikono Yako Yasaga Milima Na Kufikicha

Posted in sala
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events