Uvivuni Kipaji

HII ITAKUSAIDIA SANA; Ukitaka kujua sifa ya mvivu, UKAMWONE anavyoamka kitandani, Atakwambia uuuh, mgongo unauma, kiuno kinauma, mikono haina nguvu, halafu anahisi njaa saa 12:00 asbh, Mithali 19 :15 Uvivu humtia mtu katika usingizi mzito; Na nafsi yake mvivu itaona

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

UNAPOANZA MWEZI WA SITA WA 2017.

  MAMBO YA KUFANYA; 1. Kaa chini andika malengo yako ya mwezi mzima. i)Malengo ya kiroho *Utaomba mara ngapi kwa siku? Na kila round ya maombi, utaomba dakika ngapi au masaa mangapi? Utaombea nini kwa kila round ya maombi kwa

Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [23-04-2017]

MAISHA NI SHULE Kujifunza ni wajibu Binafsi – Hata shule iwe nzuri vipi, au mwalimu awe mtaalamu kivipi, mwanafunze asiyeweka bidii kujifunza atakuwa kilaza tu.  – Kujifunza ni kazi inayoiumiza akili, inahitaji mtu mwenye bidii na uwajibikaji binafsi kujifunza bila

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [08-04-2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO – 5 5. Jiongezee Uwezo • Utawekeza vizuri maisha yako kama utawekeza vizuri ndani yako. Ubora wa utu wako wa ndani utaamua ubora wa maisha yako. • Wekeza maarifa na ufahamu ndani yako, vitafungua macho

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [07-04-2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (5) 5. Jiongezee Uwezo • Utawekeza vizuri maisha yako kama utawekeza vizuri ndani yako. Ubora wa utu wako wa ndani utaamua ubora wa maisha yako. • Wekeza maarifa na ufahamu ndani yako, vitafungua macho yako

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [06-04-2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (4) 4. Jua kwa nini unaishi • Kuwa hai ni uthibitisho tosha kwamba kuna sababu na kusudi la wewe kuwepo. Kusingekuwa na sababu ya wewe kuwepo, basi usingekuwa hai leo. • Umeumbwa kwa kazi maalumu,

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Anza na Ulicho Nacho

“Kijana mmoja aliniambia, MTUMISHI NINA VITU VINGI VYA KUGEUZA MAISHA YA MAELFU, LAKINI SINA JINA KUBWA KAMA LAKO, NIFANYEJE NIELEWEKE NA NIKUBALIKE? Nikamjibu, MIMI NILIANZA MWAKA 2009 NA FACEBOOK, BILA KUJALI KUNA LIKE HATA MOJA AU LA, MWAKA 2012 (MIAKA

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [05-04-2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (3) 3. Mtangulize Mungu • Mungu ndiye chanzo cha uhai wako na sababu ya kuishi kwako. Bila Mungu usingekuwa hai leo. •   Ile kwamba upo hai ni kielelezo kwamba Mungu ametaka uwe hai katika dunia

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [04/04/2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (2) 2. Thamini Maisha Ili uwekeze vizuri maisha yako,  ni lazima uyathamini. Hazina yoyote inapaswa kuthaminiwa na kuheshimiwa. Uhai wako ni wa thamani sana, ni wewe tu uliyenao. Hakuna mtu mwingine anayeweza kuwa wewe isipokuwa

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Hii inaweza Ikawa mwisho!

Kama bado, Na unataka jiunga na group letu la whatsapp ,kwa kuuliza maswali au, Jadili mada mbali mbali join: kwenye Link ifuatayo https://chat.whatsapp.com/FpB3NVILgZ9F9lZCm5sP5n Wahi kabla Link, haijafungwa.

Posted in Mafunzo
yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,205 other followers

Upcoming Events

No upcoming events