Blog Archives

MFUNGO WA SIKU 40, (MASAA 12 KUTWA)[SIKU YA 9]

UJUMBE MKUU: ROHO MTAKATIFU NA WEWE. SIKU YA TISA: ROHO MTAKATIFU NA AKILI YA KIUNGU. “Lakini imo roho ndani ya mwanadamu, NA PUMZI ZA MWENYEZI HUWAPA AKILI” (Ayubu 32:8). “BWANA akanena na Musa na kumwambia, angalia nimemwita kwa jina lake

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Eneo lako lakujidai

​”Anayekuwa wa mwisho naye ana akili, ameandika majina yake kwenye karatasi za kujibia, amefanya mtihani sahihi tatizo AKILI YAKE HAINA AKILI KWENYE HICHO ALICHOFELI… Albert Einstein alisema, UKIMHUKUMU SAMAKI KWA KUSHINDWA KUPANDA MTI, ATABAKI MAISHA YAKE AKIAMINI NI MJINGA NA

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Fikicha akili

“Ukiwa kazini fanya kazi usiogope watu watakuchukuliaje cha muhimu iwe kazi halali, na hivyo ndivyo walivyo wapiga picha wengi wanachojali ni picha itokee vizuri wala hawaangaiki na watu wanatawaonaje namna wanavyoipiga hiyo picha” #Fikicha Akili# JIFUNZE KUJIFUNZA Mwl Makwaya Kuwa

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Maisha si Mafupi

“Maisha ni mafupi kwa wenye akili fupi; wanaoona kwenye pua zao tu. Hawa wanafanya vitu kwa ajili yao na watapata nini. Hawafikirii kugusa maisha ya wengine. Hawa wana maisha mafupi. Kwa sisi tunaoishi kwa ajili ya kuugusa moyo wa Mungu,

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

UPONYAJI WA NAFSI ILIYOUMIZWA.

Mnenaji: Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila. Tukio: Semina Maalum ya Wadada Tarehe: 14/02/2016 Utangulizi ⚡Nafsi imegawanyika katika sehem kuu tatu. 1)Hisia (Emotions & Feelings) 2)Maamuzi na machaguo (choices and decisions) 3)Akili (Intellect part) Na katika somo hili tunajifunza kuhusu hisia. 1)HISIA

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Kukuza akili

“Whatever is too big for your MIND is too big to be reality in your HAND” Kama kichwani/ akilini mwako hujavuka viwango vya MILIONI huwezi kushika milioni mikononi mwako! “Huwezi kupata nje kile ambacho hujakizidi ndani” Unataka kushika LAKI MKONONI

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

WATUMISHI WA MUNGU NA WAKRISTO

Asante sana Mwalimu. Mimi ni member wa Winners Chapel, ni kanisa langu. Model ya leadership ya hili kanisa pamoja na efforts zisizokoma za Papaa Oyedepo; huwa natamani makanisa ya hapa nyumbani yajifunze kitu. Usifikiri wanaua tu karama zao na makanisa

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Umaskini

Umasikini Ukiondoka Kwenye Akili Hauwezi Kuuona Kwenye Maisha… Pesa Ikionekana Kwenye Mawazo Ya Mtu, Utaiona Hata Kwenye Mifuko Yake. Ndivyo Iilvyo Kwa Mambo Ya Rohoni Pia, Kama Hayajakaa Kwenye NAFSI [Kiwanda Cha Fikra Na Mawazo] Hayawezi Kuonekana Mwilini. Usipoteze Muda

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Mikono ya Mwili

Ukikatika Mikono Ya Mwili Watu Watakuita Kilema [Kigutu] Lakini Kama Mikono Ya Akili Yako Bado Iko Sawa Utaweza Kupokea Mambo Makubwa Yatakayokufanya Usiwe Wa Kawaida…. Mikono Ya Mwili Ni Ya Muhimu Sana Ila Mikono Ya Akili Ni Ya Muhimu Zaidi

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Umaskii wa Akili

Umasikini Wa Akili Ni Mbaya Kuliko Umasikini Wa Kifikira… Ni Bora Ukose Pesa Upate Akili Na Maarifa Sahihi Yanayoweza Kugeuka Pesa. Biblia Inasema, “BORA KUFA MACHO KULIKO KUFA MOYO” Maana Moyoni Ndiko Zitokako Chemchemi Za UZIMA [Fountains Of Life]… Mithali

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events