Blog Archives

FACT kuhusu malaika

FACT#1.MALAIKA…Hesabu yao ni ELFU KUMI MARA ELFU KUMI NA ELFU MARA ELFU(Ufunuo 5:11).Na hao ni THELUTHI MBILI TU YA MALAIKA WOTE ALIOWAUMBA MUNGU,THELUTHI NYINGINE ILIASI NA SHETANI (Ufun 12:3-8).Kimahesabu, Idadi ya Malaika ni mara 2 ya idadi ya Mapepo! Biblia

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Nyinyi ni chumvia ya Dunia

“NINYI NI CHUMVI YA DUNIA, NA NURU YA ULIMWENGU…Vivyo hivyo watu wayaone matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni”…Je wewe ni CHUMVI hapo ulipo? Unatia Radha au? Je wewe ni Nuru? Unalitimua giza? Unaisimamia kweli? YESU ANA MASWALI KWAKO!

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Kauli za wakiristo

Kati ya kauli wanazotumia Wakristo wengi ni “SHETANI AMEJIINUA mambo yakaharibika nk” lakini Biblia inasema ‘SHETANI YUKO CHINI YA MIGUU YETU’…AKIJIINUA, ANAKUINUA WEWE ZAIDI. Kawaulize YUSUFU, DANIEL na akina SHEDRACK, MESHACK na ABEDNEGO watakwambia! Mwanamke au Mwanaume asiyekuwa na muda

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Jambo Moja …

Ni jambo moja wewe kusema ‘mdomoni’ kuwa ni Mkristo, Yesu ni Bwana na Mwokozi wako…Ni jambo jingine pia kwa hicho unachodai mdomoni kuwa kweli na halisi Moyoni na maishani mwako…HAKUNA KUFARIJIANA, kama ni Mkristo JINA unajijua Moyoni!     MAISHA>>>Maisha

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Upanga Mkononi mwa roho Mtakatifu

Biblia inasema, “TENA IPOKEENI CHAPEO YA WOKOVU,NA UPANGA WA ROHO AMBAO NI NENO LA MUNGU…” (Waefeso 6:17).Kama HAULITUMII NENO LA MUNGU kwenye maongezi yako yote,unamfanya ROHO MTAKATIFU awe DORMANT…UNAMNYIMA UPANGA. UKOMAVU>>> Ukomavu wa Mkristo haupimwi kwa namna anavyotetea DINI/DHEHEBU LAKE…Ukomavu

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Uzima milele

  KINYWA CHA MTU>>>Yesu anasema, “Kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake”(Math 12:34).Aina ya Maneno usemayo inatusaidia kufahamu wewe ni NANI HASA…Ukijilisha Neno la Mungu utaongea IMANI. Ukijilisha kile dunia isemacho, UTAKUWA MTUMWA na utasema hayo   UZIMA WA MILELE>>>Yesu

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Mueke yesu wa kwanza

          Swala si kusema NAMPENDA Yesu. Ishu ni je Yesu anashika nafasi gani ktk LOVE LIST yako. Yesu anataka nafasi ya kwanza, kabla ya mmeo/mkeo, dini, kazi, familia nk. Na asipokuwa wa kwanza hawezi kuwa BWANA

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Je we ni Mkiristu msindikizaji hau mwenda mbinguni

Si kila anayesema MDOMONI kwamba ni MKRISTO ni MALI YA KRISTO. Wengi wamo ni wasindikizaji wa WAENDA MBINGUNI, ni sawa na vibaka wa Buguruni wanaodandia magari ili kuiba mali za abiria. Wamo makanisani kwa sababu wamewakuta baba na mama zao

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events