Blog Archives

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO). [Day26]

  30/01/2016. “BARAKA YA BWANA (THE BLESSING OF THE LORD)” Nimekuwa nikisikia watu wakisema “Wahubiri wa kizazi hiki wanawahubiria watu baraka baraka baraka tuuuuu” …. Hii sentensi binafsi inanikera sana sana sana! Watu kuhubiriwa au kufundishwa kuhusu baraka ni mpango

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Umeanza Kuwa Baraka

“Utajuaje kuwa wewe ni baraka? Pale unapopost kitu halafu hata wale ambao hawajawahi ku-like wanakushambulia au kukosoa/ kukuonesha hauko sahihi. Hii inadhihirisha unafanya vizuri maana una watu wanaokubali kile unachokifanya kimyakimya ila wanatamani wangekuwa wao. Wanasubiri kwa hamu lini utakosea

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Kuzitoa Baraka 001

“Njia mojawapo ya kuzitoa baraka zako toka NDANI YAKO kuja nje kwenye DUNIA YAKO ni kupitia MAWAZO (ideas) anazokupa Mungu. BARAKA HUMKALIA MWENYE HAKI KICHWANI. Maana yake, Mungu humbariki mtu kulingana na UWEZO WA KUPOKEA IDEAS KICHWANI. Kila wazo la

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Kuzitoa baraka 002

“Njia ya pili ya kutoa baraka ulizobeba NDANI YAKO kudhihirika NJE KWENYE DUNIA YAKO ni kwa KUSEMA UNACHOONA NDANI YAKO bila kujali mazingira yakoje. MANENO NI NISHATI YA KIROHO isiyoonekana lakini YENYE MATOKEO YASIYOPINGIKA. Mungu AMETUUMBA KWA SURA NA MFANO

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Kuzitoa Baraka 003

“Njia ya tatu ya kufanya ili ULIVYONAVYO NDANI vitoke na vidhihirike NJE KWENYE DUNIA YAKO ni KUITUMIA IMANI KATIKA NENO LA MUNGU. Imani ni HAKIKA YA MAMBO YATARAJIWAYO. Imani haibahatishi, imani ni hakika! Imani ina uwezo wa KUYAZAA YASIYOKUWEPO UNAYOYATARAJIA.

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Neema ya Mungu

“Neema ya Mungu ikiwa juu yako, utafika hata ambako haujawahi ota, utafanya ambayo hayajawahi kufanywa, utakuwa ishara na ajabu kwa dunia yako. Kitu kizuri na kinachofurahisha NEEMA YA MUNGU INAPATIKANA KUPITIA MAOMBI (kukisogelea kiti cha neema ili kupata neema na

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Mambo Saba

MAMBO SABA AMBAYO YESU [MWANAKONDOO ALIYECHINJWA] AMEYAPOKEA KWA AJILI YAKO, NA NI YAKO KWENYE MAISHA YA SASA HAPA DUNIANI NA MILELE MBINGUNI:1.Uweza [Power]2.Utajiri [Riches]3.Hekima [Wisdom]4.Nguvu [Strength]5.Heshima [Honor]6.Glory [Utukufu]7.Baraka [Blessings]Chanzo: Ufunuo 5:12Yesu Amekununua Kwa Damu Yake Na Kukufanya Uwe MFALME NA

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

nizungumze kidogo kuhusu BARAKA

Biblia Inatuambia Wazi Ya Kuwa, “BARAKA YA MUNGU HUMKALIA MWENYE HAKI KICHWANI” (Mithali 10:6). Na Pia Tunaambiwa Kuwa, “BARAKA YA BWANA HUTAJIRISHA, WALA HACHANGANYI HUZUNI NAYO” (Mithali 10:22). Hii Ina Maana Hii: 1.BARAKA ZINATOKA KWA BWANA; YEYE NDIYE CHANZO CHA

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events