Blog Archives

Upanga Mkononi mwa roho Mtakatifu

Biblia inasema, “TENA IPOKEENI CHAPEO YA WOKOVU,NA UPANGA WA ROHO AMBAO NI NENO LA MUNGU…” (Waefeso 6:17).Kama HAULITUMII NENO LA MUNGU kwenye maongezi yako yote,unamfanya ROHO MTAKATIFU awe DORMANT…UNAMNYIMA UPANGA. UKOMAVU>>> Ukomavu wa Mkristo haupimwi kwa namna anavyotetea DINI/DHEHEBU LAKE…Ukomavu

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Mungu ni nani kwako?

Mungu hawezi kujifunua kwako ZAIDI ya kiwango chako cha kumjua Yeye.Kwa Musa alikuwa WIMBO WAKE NA NGUVU ZAKE(Kut 15:2).Kwa Daudi alikuwa MCHUNGAJI, NGAO,MWAMBA,KIMBILIO,WOKOVU nk. Kwa Ayubu alikuwa MTETEZI WAKE…Je ni nani kwako? UFANISI>>> Katika jambo lolote unalofanya, unalotaka kufanya; ili

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

imani na …

IMANI NA MAOMBI>>> “Yeye amwendeaye MUNGU [Kwa maombi] LAZIMA AAMINI [awe na IMANI] ya kwamba MUNGU YUPO na HUWAPA THAWABU wale wamtafutao”. Mungu hapokei kila Ombi, bali hupokea Maombi ya mwombaji mwenye UHAKIKA juu ya Uwepo wake na tabia yake

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Utakuwepo?

Kuna SHEREHE KUBWA INAKUJA, kubwa kuliko ile ya Prince Charlz au ya mtu yeyote maarufu. Hii ni bab kubwa, ameiandaa MUNGU MWENYEWE, Itafanyika Paradizo. Je umechukua TIKETI yako? Ziko huko uliko BURE…Zinaitwa WOKOVU, Unazipata kupitia YESU!   USIKU UMEENDELEA SANA>>>

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Karibu Singidaa!

SINGIDA KWA YESU>>> Fellowship ya Wanafunzi Wakristo wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DITSCF) wataivamia Singida, Wilaya ya Iramba, Vijiji vya Nduguti, Kinyagiri na Ishenga kwa INJILI YA UWEZA NA NGUVU YA YESU KRISTO MWEZI JULY 2012 na watakuwa

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Tumewekwa huru na yesu…..>2

TUMEWEKWA HURU NA YESU ILI KUWAWEKA HURU WENGINE>>> Wiki iliyopita nilikuwa nafanya COUNSELLING kwa dada mmoja ambaye alikuwa amekata TAMAA ya kuishi na alikuwa na kiu sana ya KUJIUA maana alishachoka kuishi na hakuwa na sababu ya kumfanya aendelee kuishi…Alikuwa

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Unataka Mungu Akuinue?

UNATAKA MUNGU AKUINUE? >>> Mungu hatokuinua kwa sababu ya MAOMBI, SADAKA wala MAARIFA ULIYONAYO. Mungu siku zote yuko busy kumsaidia Mtu ALIYEPONDEKA, MNYOOFU, MTIIFU na MNYENYEKEVU…Usitegemee Mungu atakupandisha au kukuinua wakati hata hiyo nafasi ndogo tu au kiwango kidogo tu

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Usipende Kujilaumu

Usipende kujilaumu kwa kosa la jana, Mungu amekupa leo kwa makusudi maalumu. Leo yako ni bora kuliko jana yako, na kesho yako ni bora kuliko leo yako…Kikubwa jizoeze kukaa kwenye miguu ya Mungu na jifunze kutembea na Mungu! ##MUNGU HUTOA

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

uweponi mwa bwana

          Kama umejizoeza kukaa uweponi mwa BWANA walau kwa saa 1. Huwa anaanza kukupa MAWAZO mbalimbali ya MAENDELEO. Usipojizoeza KUYAANDIKA Shetani anayaiba na unabaki MASIKINI. Jizoeze kutembea na Note book au diary. Kila akikusemesha unaandika. #YESU

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

usiseme ……Tume bali sema Nime….

Usiseme TUMEOKOKA…sema NIMEOKOKA. Usiseme sisi ni WAAMINIFU, sema Mimi ni MWAMINIFU. Usiseme TUNAKWENDA MBINGUNI…Sema NIMEMAANISHA NAKWENDA MBINGUNI. Usiseme TUNA UPENDO…These are too personal, in these trust yourself and Jesus alone!

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events